Nitetee MP3 by Chris Mwahangila

Download this new mp3 song + Lyrics & it’s official music video titled Nitetee by a renowned Christian artist Chris Mwahangila.

Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Single For Free

DOWNLOAD HERE

Watch Official Video Below

Chris Mwahangila Nitetee Lyrics
Nitetee Mungu, nitetee Baba
Nitetee Mungu wangu, Bwana
Nitetee Mungu, nitetee Baba
Nitetee Mungu wangu, Bwana
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu wangu

Nitetee Mungu wangu
Nakuomba Mungu
Safari yangu imejaa vikwazo
Safari yangu ina vita kubwa
Safari yangu imejaa vikwazo
Safari yangu ina vita kubwa
Bila wewe Mungu, sitafika popote
Bila wewe Bwana, sitafanya chochote
Nitetee Mungu wangu
Nitetetee, Baba
Nitetee Mungu wangu
Nitetetee, Baba
Oh nakuomba Mungu wangu
Nitetee Mungu, (we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)
Nitetee Mungu, (Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)
Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya
Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize

Adui zangu wamenitegea, mitego mibaya
Lengo lao kwangu, wanataka waniangamize
Nitetee Mungu, Nitetee
Nitetee, Bwana, pigana nao
Nitetee Mungu, Nitetee
Nitetee, Bwana, pigana nao
Matamanio yao kwangu, sio mazuri
Mawazo yao, sio mazuri
Mipango yaoi kwangu, sio mizuri
Wananitazama kwa macho mabaya
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Bwana wangu, nakuomba Mungu
Nitetee Mungu, (we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)
Nitetee Mungu, (Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)
Nimesikia mingongono, ya adui zangu
Wengi wanasema, tuone atafika wapi

Nimesikia mingongono, ya adui zangu
Wengi wanasema, tuone atafanya nini?
Fanya kitu Bwana, wajue
Fanya kitu Bwana, wakutambue
Dhibitika mbele yao, wajue
Dhibitika mbele yao, wajue
Pigana nao, Bwana – Wajue
Nenda mbele yangu, Bwana
Nenda mbele yangu, nitetee mungu wangu
Nitetee Mungu wangu
Nitetee Mungu, (we Mungu) nitetee Baba (we Mungu Wa Mbinguni)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)
Nitetee Mungu, (Nakuomba Mungu Wangu) nitetee Baba (Nakuomba Baba)
Nitetee Mungu wangu(eh), Bwana(Bila Wewe Siwezi)
Nitetee Mungu, (Bila Wewe Siwezi) nitetee Baba (Siwezi pekeyangu Bwana)
Nitetee Mungu wangu(We baba), Bwana(Nakuomba Mungu Wangu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here