Home Africa Music Music: Walter Chilambo – Namba Moja (+ Lyrics)

Music: Walter Chilambo – Namba Moja (+ Lyrics)

Namba Moja SONG by

African Gospel Artist release a single titled “Namba Moja” with the official music video.

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song


DOWNLOAD HERE

Walter Chilambo Namba Moja Lyrics:
Wacha niseme
We ni namba moja
Umenifanya wa thamani wa pekee
Hakuna kama we
Na sioni mwingine tena
Wakufanana nae
Ila ni wewe Bwana
Wakufanana nae
Ila ni wewe Bwana

And I believe
Ni wewe pekee yako
And I believe
Bila wewe nisingekuwepo

Maana uliniumba
Kwa mfano wako we
Huo ni upendo usiolezeka
Uzuri na sifa zako
Nitaimba milele
Ili wajue we ni
Namba moja

Kwa maana uliniumba kwa mfano wako we
Huo ni upendo usiolezeka
Uzuri na sifa zako nitaimba milele
Ili wajue we ni
Namba moja

READ ALSO  Walter Chilambo – Moto

We ni namba moja
(We ni namba moja)
We ni namba moja
(Namba moja)
We ni namba moja
(Namba one)
(Namba one)
Namba moja
We ni namba moja
(Namba moja)
We ni namba moja
Namba moja
We ni namba moja
Namba moja
We ni namba moja
Namba moja

Umekuwa mwaminifu
Tena kwangu ni mwema
Umenipa uvumilivu
Nimesimama tena
Hatua za maisha yangu
Wazijua vyema

Umekuwa mwaminifu
Tena kwangu ni mwema
Umenipa uvumilivu
Nimesimama tena
Hatua za maisha yangu
Wazijua vyema

And I believe
We ni namba moja
And I believe
You’re the only one
Only one God

READ ALSO  Walter Chilambo – Merry Christmas (Amezaliwa Yesu)

We ni namba moja
Only one God
We ni namba moja
Namba moja
We ni namba moja
Namba one
Namba one
Namba moja

We ni namba moja
Namba moja
We ni namba moja
Namba moja
We ni namba moja
Namba moja
We ni namba moja

Maana uliniumba Kwa mfano wako we
Huo ni upendo usiolezeka
Uzuri na sifa zako Nitaimba milele
Ili wajue we ni namba moja

And I believe
Wewe ni namba moja
And I believe
Wewe ni namba moja
Namba moja
Namba moja
Namba moja

Leave a Reply