Home Africa Music The Saints Ministers – Usihofu

The Saints Ministers – Usihofu

Usihofu SONG by

African Renowned Gospel Artist released a single with the song live performance music video titled “Usihofu”

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song For Free

READ ALSO  Music: The Saints Ministers – Amini (+ Lyrics)

DOWNLOAD HERE

Usihofu by The Saints Ministers Lyrics
1. Tusichoke Safarini, Japo mawimbi yapiga tusihofu Mungu yupo, Kiongozi wa mwendo Yesu Mwana wa Mungu safari tu salama.

Chorus…
Usihofu, japo safari ndefu, Imani daraja yatuvusha ng’ambo, Twakaribishwa naye Kuhani Mkuu, Haleluya tumefika nyumbani

READ ALSO  The Saints Ministers – Arise and Shine

2. Waweza kuwa na mashaka, duniani mwenzangu usitie hofu yupo, Aona masumbuko yako yote, Yatakwisha tukifika Juu.

Leave a Reply