African Music The Saints Ministers – Ndoa

The Saints Ministers – Ndoa

Ndoa SONG by

African Gospel Group The Saints Ministers released a single with the live performance music video of the song titled “Ndoa”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Ndoa BY The Saints Ministers Lyrics
[Verse 1]
Ndoa ni mpango takatifu tangu mwanzo, ujumbe njema utokao kwa Baba, yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe.

Related Post:   The Saints Ministers - Ajua Yote, Mwamini

[Chorus]
Mke si kidude cha kujaribu miguu yako, Mume si kipasa sauti cha kupigia kelele
Mpendaneni, msichokozane, amani ya Bwana iwe ndani yenu.

[Verse 2]
Kazi kwenu sasa maishani mwenu, mdumu milele kwenye upendo wa Yesu, ni Mungu pekee aweza kuwalinda na kutatua mashaka yenu ya Maisha.

[Bridge ]
Muwe mfano bora kwa watoto wenu, waonyeshe njia ile ya uzima ya wokovu,
Nanyi watoto wote watiini wazazi wenu, mibaraka yake Mungu ‘tawakirimia.

Leave a Reply