Home Africa Music The Saints Ministers – Mke Mfupa wa Mume

The Saints Ministers – Mke Mfupa wa Mume

Mke Mfupa wa Mume SONG by

African Gospel Music Group released a single with the song live performance music video titled “Mke Mfupa wa Mume”

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song For Free


DOWNLOAD HERE

READ ALSO  The Saints Ministers – Usihofu

Mke Mfupa wa Mume by The Saints Ministers Lyrics
1. Shambani mwa Edeni Adamu alipoumbwa, Mungu aliona ni vyema kuwa watu wawe wawili, Awe msaidizi, toka ubavuni mwake, hapo ndipo mwanzo Ndoa kubwa iliunganishwa.

Chorus
Inakuwa shangwe kubwa, Mume akipata Mke, hao wawili waishi kwa Amani, Naye Mume at Asema, “Mke Mfupa toka kwangu” Milele daima pendo dumisha mpate raha.

READ ALSO  Music: The Saints Ministers – Amini (+ Lyrics)

2. Familia jameni, twawasihi muwe chonjo, Shetani katili msiruhusu aingie Kati yenu, kwa upendo rekebisha, maombi yawe suluhisho, maneno matamu ndani yaa nyumba mpaka mwisho.

Leave a Reply