Home Africa Music Music: Tedy K. – Fahari Yangu Ni Yesu (+ Lyrics)

Music: Tedy K. – Fahari Yangu Ni Yesu (+ Lyrics)

Fahari Yangu Ni Yesu by Ft

Tanzanian Gospel Singer And Emmanuel Mgogo team uo together for the release of a new single titled “Fahari Yangu Ni Yesu” with the official music video.

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song


DOWNLOAD HERE

Tedy K. Fahari Yangu Ni Yesu Lyrics:
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahariiii

Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu

Neno msalaba kwao ooh wapoteao
Neno msalaba kwao ooh wapoteao
Wanaona ni ujinga eeh ni upuzi
Wanaona ni ujinga eeh ni upuzi

READ ALSO  Emmanuel Mgogo – Hujawahi Kushindwa

Lakini neno msalaba kwetu
Tuliomwamini Bwana
Ni nguvu, ni uzima tele
Ni uponyaji, amani yetu

Ni nguvu, ni uzima tele
Ni uponyaji, fahari yetu

Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahariiii

Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu

Yapo mambo mengi
Wanadamu wanajivunia
Yapo mambo mengi
Wanadamu wanajivunia

Inaweza kuwa ni mali
Magari na majumba
Inaweza kuwa ni mali
Magari na majumba

READ ALSO  Music: Emmanuel Mgogo – Napenda Niwe Karibu Na Wewe (+ Lyrics)

Inaweza kuwa ni fedha
Elimu, umaarifu
Inaweza kuwa ni fedha
Elimu, umaarifu

Lakini yote hayo
Ni ya muda tu
Lakini yote hayooo

Tena bila Yesu ni hasara tu
Tena bila Yesu ni hasara tu
Ni heri kuwa na Yesu wa uzima
Ni heri kuwa na Yesu wa uzima

Fahari yangu
Fahari yangu
Fahari yangu
Fahariiii

Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Fahari yangu ni Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu
Naona raha kuwa na Yesu aah, fahari yangu

Leave a Reply