NEW 2024 LATEST GOSPEL MUSIC ALERT; Neema Gospel Choir Jina Yesu MUSIC by Neema Gospel Choir ft. Paul Clement Download this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Jina Yesu by a renowned and Anointed Christian Music group Neema Gospel Choir
Play all day, stream all night – this mp3 audio single is free to download, immerse yourself in the magic of music every day, indulging in the rhythm that inspires, uplifts, and transforms your daily journey! Let us know what you think – your comments are welcome in the box below, and we look forward to hearing how this music moves you! Thanks!!
Neema Gospel Choir Jina Yesu Lyrics
Yako majina mengi
(Many names exist)
Yenye sifa nyingi
(Praiseworthy names)
Ila jina la Yesu limepita majina yote
(But the name of Jesus is above all names)
Jina hili la kuaminiwa
(The trustworthy name)
Jina hili la kutegemewa
(The dependable name)
Jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa
(This name is the shield and pillar of the nations)
Jina hili la kuheshimiwa
(The glorious name)
Jina hili la kuinuliwa
( The exalted name)
Jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa
(This name is the shield and pillar of the nations)
Ukiliita
(If you call upon)
Ukiliita, ukiliita lina msaada
(Will succour, when you call upon)
Ukilitaja
(If you profess)
Ukilitaja, ukilitaja lina msaada
(Will succour, when you profess)
Ukiliamini
(If you believe it)
Ukiliamini, ukiliamini lina msaada
(Will succour , if you believe it)