Audio Music Download Mercy Masika – Kuna Namna MP3 by Mercy Masika
Get ready to be inspired! Download and Listen to this captivating new single, its inspiring lyrics, and the stunning official music video, titled Kuna Namna By a talented and anointed Kenyan Christian/Gospel singer and recording artist, Mercy Masika, ministering healing and hope through her melodious voice and spirit-filled lyrics, blessing audiences worldwide.
- Song Title: Mp3 Mercy Masika Kuna Namna FREE DOWNLOAD Kuna Namna by Mercy Masika
- Genre: Gospel
- Released: 2021
- Duration: 03:06
Stream and enjoy this fantastic mp3 audio single, to download is free, immerse yourself in the magic of music every day, indulging in the rhythm that inspires, uplifts, and transforms your daily journey! Let us know what you think – your comments are welcome in the box below, and we look forward to hearing how this music moves you! Thanks!!
Mercy Masika Kuna Namna Lyrics
Kunaina za upendo, aina nyingi
Lakini upendo wako ndio halisi
Kunaina za utukufu, aina nyingi
Lakini wako ni mkuu na wa milele
Kunaina pia za miungu
Lakini we ni Mungu mkuu aliye hai
Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Hukututenda sawa sawa na hatia zetu
Wala hukutulipa kwa maovu yetu
Umeniokoa mtegoni wa mwindaji
Kwa manyoya umenifunika niko salama
Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende