Walionicheka by and

Gospel Music and Video Promotion

Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Gospel Artist release a single titled “Walionicheka” accompanied with the official music video featuring .

Rose Muhando Walionicheka:
Masimango na maneno makali ndio yaliyokuwa fungu langu
Shida taabu ziliumiza sana moyo wangu
Masimango na maneno makali ndio yaliyokuwa fungu langu
Maamivu ya moyo yaliinamisha nafsi yangu
Asante Yesu kwa kuwa uliona taabu yangu
Nakushukuru kwa kuwa uliona msiba wangu .

Na sasa ona ninaendelea
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu kwa kunishindia
Walionicheka wanaona haya .

Walikuwa ni mahipokriti
Hawakuwa ni marafiki wangu wa kweli
Ikifika ni wakati wa mahitaji
Waniepa manze kila wakati
Hawakutaka mi niokoke kabisa
Walitaka mimi nichanganye kabisa
Ona vile mimi ninang’ara kabisa
Ju nilifuata Yesu kabisa
Yesu wangu mi nakufuata
Wacha hao waendee naree .

READ ALSO  Music: Rose Muhando – Tumeshida Zaidi Yaku Shida

Na sasa ona ninaendelea
Walionicheka wanaona haya
Asante Yesu kwa kunishindia
Walionicheka wanaona haya .

Asante Yesu mwingi wa huruma
Umenishika mkono mbele naendelea
Eeh Yesu mwingi wa huruma
Umenishika mkono mbele naendelea .

Uko nami, uko nami Baba
Uko nami, uko nami Baba .

Waonyeshe waonyeshe
Waonyeshe uko nami eeeh

Listen, Enjoy & Download This Amazing Single by Rose Muhando and Ringtone titled Walionicheka Mp3 Audio Song


DOWNLOAD HERE

Gospel Music and Video Promotion

Leave a Reply