Shout For Joy by Chisom Anthony
African Music Rose Muhando – Miamba Imepasuka

Rose Muhando – Miamba Imepasuka

Miamba Imepasuka SONG by

African Gospel artist released a single with the live performance music video of the song titled “Miamba Imepasuka”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Miamba Imepasuka by Rose Muhando Lyrics
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(Glory glory)

Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana

Eee Mungu bingu na zikusifu
Watu na wakuimbie
Dunia na iseme wewe ni Bwana
Wewe uliyemwangusha nyangumi

Mungu wa wafilisti
Mwisho wake wakajua wewe ni Bwana
kawanya wakajua nee kai wa kwon wa
kawanya wakajuan ni Bwana

Related Post:   Rose Muhando - Woga Wako

Na ulikomesha masimango na kiburi cha Pharaoh
Walisifu na kusema wewe ni Bwana
Uliyesimamisha jua kwa mkono wachojua
Wenye akili wamesurrender

Wewe umeweka recordi, isiyoweza kuvunjwa
Ndio maana tunasema wewe nor Bwana

Wacha nikuinue, wacha nikuabudu
Mungu wangu wewe, wewe ..
Wewe nor Mungu, Bwana wewe or

Tuimbe eeh, wewe nor Bwana
Tuimbe eeh, wewe nor Bwana
Tuimbe eeh, wewe nor Bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(Glory glory)

Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana

Ni ya ajabu mambo yako Baba wee
Yanatisha matendo yako Mungu wee

Ni ya ajabu mambo yako Baba wee
Yanatisha matendo yako Mungu wee

Sinai ulipasuka miamba ilipasuka
Mbingu zikatetemeka wewe ni Bwana
Wewe ni moto ulao, Baba uangungushaye
Nani kama wewe … wewe ni Bwana Tuwe ni Bwana, wewe ni ee ni Bwana
Wewe ni Bwana, wewe ni

Related Post:   Fenny Kerubo - Neno

ee
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(Glory glory)

Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana

Ebenezer, Ebenezer
Bwana wa mabwana
Mfalme wa wafalme
Mungu wa miungu nani kama wewe

Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
Tuimbe eeh, wewe ni bwana
(

Glorye bwana
) eeh, wewe ni bwana

Leave a Reply