Paul Clement – Siogopi

Siogopi SONG by

African Gospel Artist Paul Clement released a single with the live performance music video of the song titled “Siogopi”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE


Siogopi by Paul Clement Lyrics
[In Swahili]
Siogopi kuchelewa
Sababu Mungu wangu hachelewi, wala hawai
Siogopi mateso yangu
Sababu ye ananipeleka, kwenye ukuu wangu
Siogopi kudharauliwa
Maana ndiko kunakonipa heshima yangu
Siogopi adui zangu
Maana najua ni adui wa Mungu wangu
Siogopi hivi vita vyangu
Maana ndivyo vinaivyonipa ushindi wangu

Related Post:   Paul Clement - Amenifanyia Amani

Refrain:
Siogopi, Siogopi!
Siogopi, Siogopi!
I’m not afraid, I’m not afraid!
I’m not afraid, I’m not afraid! (Repeat)

Nimepewa mamlaka
Siogopi nge na nyoka
N’tawakanyaka vichwa vyao
Haitanidhuru sumu zao, yaani maneno yao
Siogopi kutembea kwenye giza
Maana mi ni nuru ninaangaza
Siogopi kusimama juu ya mlima
Maana najua siwezi sitirika
Siogopi moto, moto sababu
Sababu, lazima nipite mimi dhahabu
Ili nisimame, niwe imara, niwe kinara
Siogopi moto, moto sababu
Sababu, lazima nipite mimi dhahabu
Niwe hodari, niwe jasiri, niwe kamili!

Related Post:   Paul Clement - Amenifanyia Amani

Refrain

Siogopi, Mungu uko na mimi
Mungu uko na mimi, Mungu uko na mimi
Siogopi, Baba uko na mimi
Baba uko na mimi, Baba uko na mimi
Uko na mimi, uko na mimi

29 views

Leave a Reply