Home Africa Music Paul Clement – Mwema

Paul Clement – Mwema

Mwema SONG by Ft

African Gospel artist and team up for the released of a song with the live performance music video titled “Mwema”

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Paul Clement Mwema Song Lyrics
Verse 1 (Paul Clement)
Wema wako si kwa wakati wa furaha tu,
Wema wako pia wakati
Hata wa machozi,
Wema wako haupimiki
Kwa majira fulani tu,
Wema wako ni kila wakati na kila nyakati,
Hata sasa ni Mwema
Tunapoimba ni Mwema,
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema,
Tunapopanda ni Mwema
Tunapovuna ni Mwema,

READ ALSO  Music: Paul Clement – Amenifanyia Amani (+ Lyrics)

CHOURUS
Wewe ni Mwema
Umwemaaaa
Wewe ni Mwema
Unatupenda,unatupenda
Wewe ni Mwema.

Verse 2 (Bella kombo)

Wema wako ni kama mchanga siwezi kuhesabu,
Wema wako ni kama maji
Yanayomiminika bila kukoma,
Mtu akinge ama asikinge
Hayataacha kutoka,
Hata sasa ni Mwema,
Tunapoimba ni Mwema,
Tunapolia ni Mwema
Tunapo cheka ni Mwema

CHOURUS
Wewe ni Mwema
Umwemaaa
Wewe ni Mwema,
Unatupenda,unatupenda
Wewe ni Mwema.

Your goodness, is not only in good times
Your goodness is also seen in times of grief
Your goodness is not only measured in certain seasons
Your goodness is in every moment and in every season

Even now You are good
As we sing, You are good
As we cry, You are good
As we laugh, You are good
As we sow, You are good
As we harvest, You are good.

READ ALSO  Music: Paul Clement – Mungu Halisi

Chorus
You are good
You are good
You are good

Your goodness is like the sand, it cannot be counted
Your goodness is like running water that flows endlessly
Whether or not somebody fetches, it never ceases to flow

Even now, You are good
As we sing, You are good
As we cry, You are good
As we laugh, You are good
As we sow, You are good
As we harvest, You are good

Leave a Reply