African Music Goodluck Gozbert – Hauwezi Kushindana

Goodluck Gozbert – Hauwezi Kushindana

Goodluck Gozbert - Hauwezi Kushindana
Hauwezi Kushindana SONG by

Checkout this new mp3 song + Lyrics & it’s official music video titled Hauwezi Kushindana by a popular christian artist Goodluck Gozbert.

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Single For Free

DOWNLOAD HERE

Goodluck Gozbert Hauwezi Kushindana Lyrics
Hauwezi kushindana, oh kushindana
Na mwanadamu mwenye kinywa
Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima
Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue

Related Post:   Goodluck Gozbert - Mungu Hapokei Rushwa

Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
Ukiendelea unawapa kichwa hao
Basi laza imani rejea vitani
Wakikuona waseme umekuwa sugu
Acha waongee acha waseme seme
Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo
Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno
Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea

Related Post:   Goodluck Gozbert - Kampeni

Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa
Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
Ungejifunza ukimya haunanga hasara
Fulani we fulani una shida gani
Na uongo wanini Mwogope Mungu
Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
Mimi nimeshakwambia

Leave a Reply