Haufananishwi Mp3 Audio Download

Gospel Music and Video Promotion

Lyrics for Haufananishwi by :

Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine  .

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
(rudia toka juu)
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
(rudia)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine  .

Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine  .

Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine  .

Katikati ya dhahabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine  .

READ ALSO  Boaz Danken – Ameshinda Yesu

Unafanya mambo ambayoMwanadamu hawezi kufanyaUnatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
(rudia x4)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine  .

COMPLETE Boaz Danken Haufananishwi Lyrics

Listen, Enjoy & Download This wonderful single by Boaz Danken titled Haufananishwi Mp3 Audio Song

DOWNLOAD HERE

Leave a Reply