African Music Rose Muhando – Ndivyo Ulivyo

Rose Muhando – Ndivyo Ulivyo

Ndivyo Ulivyo MP3 by Rose Muhando

African Renowned Gospel Artist Rose Muhando released a single with the live performance music video of the song titled “Ndivyo Ulivyo”

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! #gospeljingle

DOWNLOAD HERE

Ndivyo Ulivyo BY Rose Muhando Lyrics
[Verse 1]
Naona kama maono, kumbe ndivyo ulivyo
Nilidhani ‘kama ndoto, kumbe ndivyo ulivyo, Nilifikiri nachanganyikiwa kwa kusema hivi, kumbe ndivyo ulivyo
Umekuwa mpole, umekuwa mwenye huruma, kumbe ndivyo ulivyo ooh
Si mwepesi wa hasira, baba ni mwingi wa rehema, ndivyo ulivyo oh
Wewe unatuwazia mema, kuliko tunavyodhani, ndivyo ulivyo
Mawazo yako hayafanani na mawazo ya wanadamu, baba ndivyo ulivyo
Nani kama wewe, mwepesi wa kusamehe, ndivyo ulivyo ooh
Wema wako hauneneki katikati ya wanadamu Jehova, Kumbe ndivyo ulivyo;

[Chorus]
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga
Ndivyo ulivyo, ndivyo ulivyo Ooh
Ndivyo ulivyo, Hakuna Kupinga

[Verse 2]
Tulia kwa Mungu, hushuka na kutufariji, Baba kumbe ndivyo ulivyo oh
Usiku na mchana hulali husinzii Mungu uliye hai, ndivyo ulivyo ooh
Pale tusipoweza kutenda wenyewe kwa mikono yetu Yehova, ndivyo ulivyo ooh
Huingilia kati ‘yale yote tunayoshindwa wewe ndivyo ulivyo
Msaada wakati tunapochoka, Yehova
Ndivyo ulivyo ooh;

[Verse 3]
Mungu uliwakusanya walioachwa
Ukawakumbatia baba ndivyo ulivyo
Waliokosa tumaini weka tumaini jipya kwao, ndivyo ulivyo ooh
Waliokata tamaa, wewe unawatia nguvu baba ndivyo ulivyo ooh
Vile nionavyo mimi si kama utazamavyo baba kumbe ndivyo ulivyo oh
Huruma zako zimevuka vilindi vya bahari, Mungu we eeh kumbe ndivyo ulivyo
Hakuna Kupinga;

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here