African Music Christina Shusho – Akutendee Nini

Christina Shusho – Akutendee Nini

Christina Shusho - Akutendee Nini

Akutendee Nini SONG by Christina Shusho

Now Out, Renowned Christian artist drops a new mp3 single + it’s official music video titled “Akutendee Nini”

Stay blessed as you stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to drop your comment using the comment box below thanks. #gospeljingle

DOWNLOAD HERE

Watch Video below

Akutendee Nini Lyrics
Aleluya
Yesu ni Bwana
Nawala hana mpinzani, atatenda mambo
Wataka akutende nini, akutende nini we
Neno moja nalitaka kwa Bwana, nalo ni hili

Nikae nyumbani mwake siku zote za maisha yangu
Jala Lake limejaa hakuna aliyepunguza hata robo akutende nini we
Wengi wataka kuwa rahisi wa nchi, wengi wataka kuwa wa bunge nawe akutende nini we
Mwingine ombi lake apate shamba huyu mume na huyu mke, wataka akutende nini we

Mama huyu ombi lake apate mtoto, wengi wapate elimu wataka akutende nini we

Mwambie(mwambie)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here