African Music Angel benard – Nikumbushe

Angel benard – Nikumbushe

Nikumbushe MP3 by Angel benard

African Gospel artist Angel benard released a single with the live performance music video of the song titled “Nikumbushe”

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! #gospeljingle

DOWNLOAD HERE

Nikumbushe by Angel benard Lyrics
Nirahisi kinywa kujawa na lawama tele
Pale mambo yanapoonekana hayaendiii
Ni ajabu sana namna moyo unahangaika (kutafuta majibu)
Ajabu sana moyo unavyoonyesha mashaka yakwamba japokuwa Mungu anaishi ndani yangu kuna muda nahofu, japokua Mungu anaketi kati yetu kuna muda nahofu,
Ahh nakumbuka wana wa Israel katika bahari yashamu japo walikatiza katikati ya bahari kwa ushindi,
Kwa nyimbo nyingi waliimba na kumsifu Bwanaa. Lakini baada ya kuvuka na kuliona jagwa yalibadilika mambo,
Manung’unikoo yalisimama na kusahau muujiza alotenda Bwana Mwanzo aah.
Eee MUNGU Niisaidieee eee eenhee
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu

BRIDGE -Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machoziii, x2
Eeeh Ee MUNGU Nisaidiee
Nisaidieee kukumbuka baba yakwamba umenichora kiganjani mwako kati ya wengi walioko duniani eenh na mimi umenionaa oooh ooo
Nikumbushe baba yakwamba ni wewe umeniponya nilipoumwa yakwamba ni wewe mlipaji wa ada yangu shuleniii. ouoooh ooh
Yakwamba kama ungeniacha hatua moja nisingelifika nilipo ooh eee Babaa umenikung’uta mavumbi, kung’uta mavumbi mimi na kuniheshimisha.
Oooooh oooooh

Nikumbushe wema wako nisije laumu
Nikumbushe ukuu wako wakati wa Magumu(Nisaidie Yesu)
Nikumbushe shuhuda zako ili nikusifu
Niimbe wimbo wa sifa katikati ya machozii Ă—2

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here