Shout For Joy by Chisom Anthony
African Music Mercy Masika – Kuna Namna (There’s a way)

Mercy Masika – Kuna Namna (There’s a way)

Kuna Namna by Mercy Masika

Now Out, Renowned Christian artist drops a new mp3 single + it’s official music video titled Kuna Namna (There’s a way)

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Kuna Namna Lyrics
Kuna aina za upendo, aina nyingi
Lakini upendo wako ndio halisi
Kuna aina za utukufu,
aina nyingi Lakini wako ni mkuu na wa milele

Related Post:   Mercy Masika - Nivute

Kuna aina pia za miungu
Lakini we ni Mungu mkuu aliye hai

Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua

nimekupenda, namnaupnaidi, kunaupnaidi
nimekupenda (Knaupnaidi, kunaupnaidi
nimekupenda, namnaupnaidi, kuuuuuuuuuu (Knaupnaidi, namnaupnaidi, Kunaupnaidi, Kunaupnaidi, kuuuuuuuu (Knaupnaidi, namnaupnaidi)
Inabidi Yesu, nikupende

Hukututenda sawa sawa na hatia zetu
Wala hukutulipa kwa maovu yetu
Umeniokoa mtegoni wa mwindaji
Kwa manyoya umenifunika niko salama

Related Post:   Mercy Masika - Upendo

Nimekujua nimetosheleka (Tosheleka)
Nimekujua nimekupenda (Kupenda)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)
Ujana wangu (Ndio) umerejeshwa (Ndio)

Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi kuna namna, unatupenda Inabidi namunaidi, natupenda Inabendid
Kuna, nnatnaidi, nnupenda
Inabidi, nnatnaidi, ndio

Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende
Kuna namna, kuna namna, unatupenda
Inabidi Yesu, nikupende

Leave a Reply