Home Africa Music Justus Myello – Kesho Yangu

Justus Myello – Kesho Yangu

Kesho Yangu SONG by

African Gospel artist release a live performance music video titled “Kesho Yangu”

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Justus Myello Kesho Yangu Lyrics:
Kesho yangu… aaah
(Terrence on the track)

Maisha safari kila mja anayake
Zamu kaza mwendo usichoke (Kazana)
Leo si kama jana mama alishasemaga
Mwana jikaze sana (Pambana)

Najua siku inakuja
Nyota yangu ing’are
Kimziki nitoke
Ndoto zangu zitambe

Ninunue kamotokaa, hata Runda nitakaa eeh
Na bado unaniandaa kwa kiwangio kingine
Ninunue kamotokaa, hata Runda nitakaa eeh
Na bado unaniandaa kwa kiwangio kingine

READ ALSO  Justus Myello – Sitachoka

Eeh Baba eeh najua walimwengu wabaya
Na baba eeh ndo wangu msaada

Kesho kesho yangu, imehakikishwa
Kesho kesho yangu, ndani ya Yesu ni salama
Kesho kesho yangu, itakuwa shwari
Kesho kesho yangu, hakuna majonzi ni salama

Leo hii nala kwa mapipa
Deni nashindwa kulipa
Mavazi malazi shida
Kwangu matatizo mbona?

Hata wengi wanikere
Wanionee gere
Nazidi kusonga mbele
Mbele, mbele

Hapa duniani we ndo wangu wa dhati
Nakuamini hadi mwisho wa dahari

Ninunue kamotokaa, hata Runda nitakaa eeh
Na bado unaniandaa kwa kiwangio kingine
Ninunue kamotokaa, hata Runda nitakaa eeh
Na bado unaniandaa kwa kiwangio kingine

READ ALSO  Justus Myello – Benga Ya Yesu

Leave a Reply