African Music Johnson Kibali – Bila wewe

Johnson Kibali – Bila wewe

Johnson Kibali - Bila wewe

Bila wewe by Johnson Kibali

Now Out, Renowned Christian artist drops a new mp3 single + it’s official music video titled Bila wewe

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Bila wewe Lyrics
Nahitaji nguvu zako Bwana nisaidie
Nahitaji neeema yako Bwana nisaidie
Nahitaji mkono wako Bwana nisaidie
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie

Siwezi siwezi Bila wewe
Siwezi bila wewe
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie

Wewe ndiwe mkuu wa majeshi
Vita vyangu nakukabidii wewe
Nipiganie kwa maana
kwa nguvu zangu nitashindwa
El-Shaddai wewe ndiwe Mungu wangu

Siwezi siwezi Bila wewe
Siwezi siwezi bila wewe
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie

Siwezi siwezi Bila wewe
Siwezi siwezi bila wewe
Nihitaji uwepo wako Bwana nisaidie
Nihitaji uwepo wako Yahweh nisaidie

Leave a Reply