African Music John Lisu – Mataifa Yakujue

John Lisu – Mataifa Yakujue

Mataifa Yakujue SONG by Ft. Bomby Johnson

Now Out, Renowned Christian artist released a new mp3 single and it’s official music video titled “Mataifa Yakujue”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

John Lisu Mataifa Yakujue Lyrics
Kabla ya misingi kuweko
Ulikuwepo Bwana
Kabla ya vilindi kuwepo
Ulikuwepo Bwana

Related Post:   John Lisu - Haleluya

Oooh, oooh

Kabla ya jua na mwezi
Ulinifanya ukanichagua
Ili nikuabudu wewe

Mataifa yakujue wewe ni Bwana
Mataifa na yajue unamiliki
Mataifa yakujue wewe ni Bwana
Mataifa na yajue unamiliki

Twakuabudu wewe pekee unastahili
Twakuabudu wewe pekee unamiliki
Twakuinua wewe pekee unastahili
Twakuinua wewe pekee unamiliki

Oooh…oooh
Oooh…oooh
Oooh…oooh

Haleluya Haleluya Haleluya
Wewe ni Bwana hakuna kama wewe

Related Post:   John Lisu - Hakuna Gumu Kwako

Haleluya Haleluya Haleluya
Haleluya Haleluya Haleluya
Haleluya Haleluya Haleluya
Haleluya Haleluya Haleluya

Leave a Reply