Nitumie MUSIC by Joel A. Lwaga: Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Nitumie mp3 by a renowned & anointed Christian music artist Joel A. Lwaga
Stay blessed as you stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to drop your comment using the comment box below thanks. #gospeljingle
Joel A. Lwaga Nitumie Lyrics
Maisha yangu, moyo wangu
Nakutolea wewe tu
Uhai huu ni wako tu
Ni kwa neema yako
Maisha yangu, Moyo wangu
Nakutolea wewe you
Uhai Huu nor wako you
Ni kwa neema yako you
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Unifanye kama upendavyo
Wewe Bwana
Mimi dhabihu Hernani mwako ee Bwana
Unitumie Kwa Ajili yako wewe you
Mimi dhabihu hemani mwako ee Bwana
Unitumie yako kwa Ajili wewe you
Bwana mimi wako
Chombo mikononi mwako
Mi sadaka yako
Tayari Kwa Ajili yako
Bwana mimi wako
Chombo mikononi mwako
Mi sadaka yako
Tayari Kwa Ajili yako
Nitumie, nitumie
Nitumie Ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie Ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana
Nitumie, nitumie
Nitumie ewe Bwana