Umetukuka SONG by Israel Ezekia
African Gospel artist Israel Ezekia released a single with the live performance music video of the song titled “Umetukuka”
Stay blessed as you stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to drop your comment using the comment box below thanks. #gospeljingle
Umetukuka BY Israel Ezekia Lyrics
Mfalme mwema, mwaminifu
Baba muweza yote
Una nguvu haushindwi
Pokea utukufu
Refrain:
Twakupa heshima na sifa zote
Ewe Mungu umetukuka
Mtakatifu! Mtakatifu!
Bwana wa majeshi
Dunia yote imejawa
Na utukufu wako
(Refrain)
Bridge:
Umetukuka! Umetukuka
Ewe Mungu umetukuka
(Refrain)