Home Africa Music Healing Worship Team – Mbali Na Kelele (Music + Lyrics)

Healing Worship Team – Mbali Na Kelele (Music + Lyrics)

Mbali Na Kelele by

Healing Worship TeamMbali Na Kelele Download Mp3 Audio

Mbali Na Kelele Mp3 Lyrics by :
Intro
Iweke roho yangu kando ya maji ya utulivu baba yooh .

Nipeleke mbali na kelele
Nipeleke mbali na kelele Baba
Nipeleke mbali na kelele
Nipeleke mbali na kelele Baba .

Vita vya muovu mimi siwezi pekee
Nahitaji musaada kwako Baba
Vita vya muovu mimi siwezi pekee
Nahitaji musaada kwako Baba .

Kelele za magonjwa
Kelele za maneno
Eh Baba sikia ombi langu niepushe
Kelele za ujanja kelele za fitina
Eh Baba sikia ombi langu niepushe .

READ ALSO  Healing Worship Team – Alijitoa Msalabani (Music + Lyrics)

Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikuchezee
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu ili nikuimbie
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikuabudu
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu ili nikuimbie .

Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikuabudu
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu ili nikuabudu
Uiweke roho yangu kando ya maji
Ya utulivu nikusifu .

READ ALSO  Healing Worship Team – Alijitoa Msalabani (Music + Lyrics)

Kelele za magonjwa
Kelele za maneno
Eh Baba sikia ombi langu niepushe
Kelele za ujanja kelele za fitina
Eh Baba sikia ombi langu niepushe
COMPLETE Healing Worship Team Mbali Na Kelele Lyrics

Listen, Enjoy & Download This Amazing Single By Healing Worship Team titled Mbali Na Kelele Mp3 Audio Song

DOWNLOAD HERE

Leave a Reply