Alijitoa Msalabani by

Alijitoa Msalabani Download Mp3 Audio

Gospel Music and Video Promotion

Alijitoa Msalabani Mp3 Lyrics by Healing Worship Team:
Nimeamua Yesu kuwa mwokozi wangu
Kwani yeye rafiki mwema kwangu
Nipitapo kwenye bonde la uvuli wa mauti
Ananipa faraja na ushindi .

Nimeamua Yesu kuwa mwokozi wangu
Kwani yeye rafiki mwema kwangu
Nipitapo kwenye bonde la uvuli wa mauti
Ananipa faraja na ushindi .

Alijitoa msalabani akanikomboa
Bila sababu yoyote akanipenda Yesu
Alijitoa msalabani akanikomboa
Bila malipo yoyote ananipenda .

Alijitoa msalabani akanikomboa
Bila sababu yoyote akanipenda Yesu
Alijitoa msalabani akanikomboa
Bila malipo yoyote ananipenda .

READ ALSO  Healing Worship Team – Mbali Na Kelele (Music + Lyrics)

Upendo wako Baba wanizunguka
Mbele na nyuma
Upendo wako Baba wanizunguka
Kushoto kulia
Upendo wako Baba wanizunguka
COMPLETE Healing Worship Team Alijitoa Msalabani Lyrics

Listen, Enjoy & Download This Amazing Single By Healing Worship Team titled Alijitoa Msalabani Mp3 Audio Song

DOWNLOAD HERE

Gospel Music and Video Promotion

Leave a Reply