African Music Guardian Angel – Yesu Sio Mwizi

Guardian Angel – Yesu Sio Mwizi

Yesu Sio Mwizi SONG by Guardian Angel

Now Out, Renowned Christian artist released a new mp3 single and it’s official music video titled “Yesu Sio Mwizi”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Yesu Sio Mwizi Lyrics
(Oooh, ooh, ooh, oooh)

Yesu sio mwizi lakini
Ameuiba moyo yangu
Yesu si polisi anifunge
Ananibeba mbembeleza

Yeye ni rafiki wa dhati
Akiahidi lazima atatenda
Yesu ni mfalme wa amani
Kuwa karibu na yeye natamani

Yesu sio mwizi lakini
Ameuiba moyo yangu
Yesu si polisi anifunge
Ananibeba mbembeleza

Related Post:   Guardian Angel - Kuongozwa

Yeye ni rafiki wa dhati
Akiahidi lazima atatenda
Yesu ni mfalme wa amani
Kuwa karibu na yeye natamani

Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli

Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli

Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kukubali neno lake raha moyoni
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kwake daima nimepata uzima na amani

Related Post:   Liz Kamika & Guardian Angel - Mjaribu Leo

Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kukubali neno lake raha moyoni
Kumtegemea Yesu ni utamu sana
Kwake daima nimepata uzima na amani

Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli
Yesu Yesu ni rafiki nimemuona dhabiti
Yesu Yesu rafiki, ahadi zake kweli

Neno lake bwana ni kweli na Amina
Ahadi zake kweli
Akiahidi kitu lazima atatenda
Ahadi zake kweli

Mungu ni mwaminifu ooh
Ahadi zake kweli
Ahadi za kweli
Ahadi zake kweli

Leave a Reply