Home Lyrics Guardian Angel – Tawala

Guardian Angel – Tawala

Tawala SONG by

Renowned Kenya Gospel Artist release the official music video of his hit single titled “Tawala”

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song


DOWNLOAD HERE

Guardian Angel Tawala Lyrics:
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe

We ndo number one umenifana
Avandu we-
Moto kama burner
Ndo maana tunatoroka mateka kwa shetani

Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up
Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up

READ ALSO  Guardian Angel – Hukumu

Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe

Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako

Shetani abaki anastuka
Akiskika sauti kwa spika
Vile anashuka kwenye mizuka

Sifa inapanda Yesu anashuka
Tunafunika bila mashuka

Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up
Jesus hold me up, lead me on
Bless me on, take me up

READ ALSO  Music: Guardian Angel – Nishike Mkono (+ Lyrics)

Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe

Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako
Tawala, tawala
Eeeh Baba chukua control
Tunasurender kwako

Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe
Nimeloka kombo ya Yesu
Massiah zambe

Leave a Reply