Shout For Joy by Chisom Anthony
African Music Guardian Angel – Rada

Guardian Angel – Rada

Rada SONG by Guardian Angel

Now Out, Renowned Christian artist released a new mp3 single and it’s official music video titled “Rada”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Rada Lyrics
Ulivyo leo
hio ni ya leo,
Huenda kesho
iyo rada ibadilike,

Related Post:   Moji Shortbabaa - Mazuri

Watakusema sema sana,
We kazana usichoke kupambana,
Yote ukimuamini Mola,
Story yako itabadilika,

Walinisema hivo,
Ona sasa, story yangu imebadilika
Aliyefanya hivo hivo hivo kwangu mimi
Kwako pia atabadilisha,

Ulivyo leo,
Huenda kesho iyo rada ibadilike
Matatizo ulo nayo,
Hizo shida ulo nazo,
Huenda kesho
iyo rada ibadilike

Rada ibadilike
Rada ibadilike
Huenda kesho iyo rada ibadilike

Related Post:   Guardian Angel - Yesu Sio Mwizi

Ulivyo leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike eeh
Ulivyo leo, hiyo ni ya leo
Huenda kesho iyo rada ibadilike eeh

Leave a Reply