Home Africa Music Florence Mureithi – Inuka Mteule

Florence Mureithi – Inuka Mteule

Inuka Mteule SONG by

Kenya Gospel Artist release a soul lifting single titled “Inuka Mteule” with the official music video

Stay blessed as you Download, Enjoy and Share This Amazing Mp3 Audio Song

READ ALSO  Florence Mureithi – Kweli Wewe ni Mungu

DOWNLOAD MP3 SONG

DOWNLOAD HERE

Florence Mureithi Inuka Mteule Lyrics:
Inuka, jitie
Nguvu,
Simama, u
Mshindi,
Tawala, una
Kibari,
Msaidizi wako,
Yu ndani yako
Jielezeje mteule, Ulivyo na nguvu
Umepewa uwezo, Kwa Roho wa Mungu
Usife moyo mteule, Ufalme ni wako
Umrithi, pamoja na Yesu
Nikuelezeje, hakuachi Bwana
Hadi mwisho, wa dahari
Inua macho mteule, Uone mbali
Giza latoweka, kwapambazuka

READ ALSO  Florence Mureithi – Kweli Wewe ni Mungu

Leave a Reply