Shout For Joy by Chisom Anthony
African Music Deborah Lukalu – Tenda/call Me Favour

Deborah Lukalu – Tenda/call Me Favour

Tenda/call Me Favour SONG by Deborah Lukalu

Now Out, Renowned Christian artist released a new mp3 single and it’s official music video titled “Tenda/call Me Favour”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Tenda/call Me Favour Lyrics
Response: Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba
(There is no one, there is no God like You, Father)
Hakuna, hakuna, hakuna Mungu kama wewe Baba
(There is no one, there is no God like You, Father)
Hakuna mwingine kama wewe Baba
(There is none like You Father)
Hakuna mwingine kimbilio langu
(There none who is my refuge)
Hakuna mwingine Bwana wa wajane
(There is none who is the husband of widows)

Wewe ni chefu, wa mataifa yote (You are the supreme God over all nations)
Huu ni chefu, wa mataifa yote (He is the supreme God over all nations)
Mungu ni chefu, wa mataifa yote (God reigns supreme over all nations)x?

Alitenda mambo makubwa (He did amazing things)
wanadamu wakakuelewa tenda (That surpasses human understanding)
Tenda, tenda, tenda (Accomplish, Accomplish, Accomlish)

Related Post:   Deborah Lukalu - We Testify

Response: Tenda eh Baba, tenda (Accomplish, Oh Father, Accomplish)
Baba wa majabu (Amazing Father)
Mungu wa uzima (God of Life)
Mungu wa salama (God who is our refuge)
Bwana wa wajane (The Husband of widows)

Alitenda mambo makubwa (He has done great things)
Shetani asikuelewe tenda (That Satan could not understand, accomplish)
Tenda, tenda, tenda! (Accomplish, accomplish, accomplish!)

Ni wa uwezo, ni wa ushindi (He is of might and victory)
Ni muweza wote kweli, ni muumba wa yote (He does all, creator of all things)
Kuimba tunaimba, ni kwa neema (We sing by His Grace)
Watoto tunasala, mpaka kwa neema (We pray through His Grace)
Ndoa tunapata, ni mpaka kwa neema (We marry by His Grace)
Masomo tunaweza, ni mpaka kwa neema (We manage our studies by His Grace)
Diploma uko nayo, ni mpaka kwa neema (You have a diploma through His Grace)
Watoto unazaa, ni mpaka kwa neema (You bear children, through His Grace)
Kuimba unaimba, ni mpaka kwa neema (We sing through His Grace)

Related Post:   Deborah Lukalu - Mungu Wa Maajabu

Huyu Mungu wetu (This our God)
Anajisema, anajipanga/anajibwaga (?) (He says, and arranges (.?.)
Ni muweza yote kweli, haleluya ni muumba wote (Abler of all, Hallelujah, He is the creator of all things)
(Repeat)

Response: Wa milele wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu we (Forever, God of blessings is Jesus)
Wa milele wa milele, Mungu wa baraka ni Yesu we (Everlasting, God of blessings is Jesus) x3
Wa miujiza wa miujia, Mungu wa miujiza ni Yesu we (Of miracles, God of miracles is Jesus)
Wa mapendo wa mapendo, Mungu wa mapendo ni Yesu ww (Of Love, of love, God of Love is Jesus)
Ah ah ah, ni Yesu we (Ah, ah, ah, it is Jesus)
Ah yo yo yo, ni Yesu we (Ah, yo yo yo , it is Jesus) (Repeat)

Leave a Reply