Boaz Danken – Haufananishwi

Haufananishwi SONG by

African Gospel artist Boaz Danken released a single with the live performance music video of the song titled “Haufananishwi”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Haufananishwi by Boaz Danken Lyrics
Wewe ni Mungu, mpasua bahari
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .

Related Post:   Boaz Danken - Yesu Wastahili

Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine
(rudia toka juu)
Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi toa
(rudia)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .

Si mwepesi wa hasira
Unaghairi mabaya
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .

Related Post:   Boaz Danken - Yesu Wastahili

Mungu mwenye wivu
Unatunza maagano
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .

Katikati ya gadhabu
Unakumbuka rehema
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine .

Unafanya mambo ambayo
Mwanadamu hawezi kufanya
Unatoa faraja ambayo
Mwanadamu hawezi kutoa
(rudia x4)
Haufananishwi na kitu kingine
Haufananishwi na kitu kingine

20 views

Leave a Reply