Boaz Danken – Ameshinda Yesu

Gospel Music and Video Promotion

Ameshinda Yesu by

Lyrics:
Kulikuwa na vita mbinguni
Malaika wa Mungu
Walipigana na yule joka
Adui wa imani  .

Wakamshinda kwa neno la ushuhuda
Wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo  .

Ameshinda Yesu kifo na kaburi
Ameshinda Yesu mfalme wa amani  .

Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya  .

Tumeingia kwenye agano
Agano la milele
Tumewekewa muhuri kwa damu
Damu ya mwanakondoo  .

Upande wetu sisi ni washindi
Tumeshinda pamoja naye
Kwa kumuamini Yesu kaingia moyoni
Tutatawala pamoja naye  .

Ameshinda Yesu kifo na kaburi
Ameshinda Yesu mfalme wa amani  .

Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya  .

Alizidi enzi mamlaka
Kagongemelewa msalabani
*Akaziuia mkoko alipokuwa Goligotha
Adhabu Ya Mungu kwa wanadamu
Ilikuwa begani mwake
Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona
Ushindi tunao  .

READ ALSO  Music: Boaz Danken – Bwana Wewe ni mwema (+ Lyrics)

Ameshinda Yesu kifo na kaburi
Ameshinda Yesu mfalme wa amani  .

Halleluya Halleluya
Halleluya Halleluya  .
Habari njema zienee
Mataifa yasikie
Mfalme wetu Yesu kristo
Ameshinda kifo na kaburi
Wivu wa Mungu umezidi
Alikumbuka agano lake
Uzao wa mwanamke
Utakuponda kichwa wewe joka
Yesu uzao wa mwanamke
Amemponda kichwa joka shetani
Tumeuona utukufu kama wa mwana pekee wa Mungu
Yaliyonenwa na manabii torati na waamuzi
Yametimia mikononi mwake
Yesu mwana wa Mungu  .

Ameshinda Yesu kifo na kaburi
Ameshinda Yesu mfalme wa amani.

Listen, Enjoy & Download This Amazing Single by titled Ameshinda Yesu Mp3 Audio Song

DOWNLOAD HERE

190

Leave a Reply