Foreign Music Bella Kombo – Mshindi

Bella Kombo – Mshindi

Bella Kombo - Mshindi

Mshindi SONG by Bella Kombo

Now Out, Renowned Christian artist drops a new mp3 single + it’s official music video titled “Mshindi”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Mshindi Lyrics
[In Swahili]

Amka, amka jivike nguvu
Eh Sayuni mtumishi wangu
Nimekuita kwa jina lako
Utimize kusudi langu
Kuwafungua waliofungwa
Na mateka uhuru wao
“Ndio Bwana, nitaenda
Ndio Bwana, nitafanya”

Naujua wito wangu, kusudi lako
Nilitimize
Sitikiswi, na majaribu
Alieanzisha atamaliza
(Repeat)

Nijapopita kwenye bonde, kwenye maji mengi
Naimarika kwa nguvu zako, yanijenga imani
Hutaniasha mpaka nifike
Hutanicha niabike
Kwenye giza, ukafanyika mwanga
Baharini, ukafanyika njia
Na yule tubu ukanipa ushindi
Na kwenye mapango ya simba, nikatoka salama
Na jangwani, ukafanya kisima
Kile kisima, kisima cha uzima
Na milango ya gereza ikafunguka
Nami nikawa huru, huru kwelikweli

Naliona haki yangu
Utukufu, jina jipya
Mi mshindi, Mi mshindi, Mi mshindi! Daima
(Repeat)

Bridge:
Waliyoshindana nawe, wataaibika
Wanioshindana nawe, wataanguka mbele yako
Asema Bwana (3x)

Naliona haki yangu
Utukufu, jina jipya
Mi mshindi, Mi mshindi, Mi mshindi! Daima
(Repeat)

Mimi ni mshindi, ni mshindi
Mi mshindi, Mi mshindi
Mi mshindi daima

Leave a Reply