African Music Angel Benard – Utukumbuke

Angel Benard – Utukumbuke

Angel Benard - Utukumbuke

Utukumbuke SONG by

Now Out, Renowned Christian artist Angel Benard drops a new mp3 single + it’s official music video titled “Utukumbuke”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Angel Benard Utukumbuke Lyrics
Eeh
Bwana yesu nataka niseme nawewe, mmh
Uuh uuh
Usife moyo baba, Usife moyo mama
Nakuona mama unatazama watoto waumia moyoni,
Nakuona baba unashinda umelewa haueshimiwi nyumbani,
Nakuona kijana umetafuta umechoka rudia tena na leo,
Mwokozi ona Yale wanayo pitia, Baba onaaa uwakumbukee .

Uwakumbuke wagojwa wale
Uwakumbuke yatima Baba
Uwakumbuke baba
Wanandoa wale, utukumbuke
Kina mama wale, utukumbuke
Kina baba wake, utukumbuke babaa
Oooooh uwakumbuke

Mkono wako si mfupi usiokoe,
Na sikio lako sio zito lisisikie,
Bwana mkono wako si mfupi usiokoe,
Na sikio lako sio zito lisisikie,
Wewe mwanzo tena mwisho
Kwako hakunalo gumu
Tujapokua dhaifu bwana wewe ndio nguvu zetu uwakumbukeeeeh
Uwakumbuke kanisa lako,
Uwakumbuke taifa letu,
Uwakumbuke babaa,
Baba tunakutazama, utukumbuke
Ona watoto wale, utukumbuke
Barabarani Baba, utukumbuke babaa
Ona aah aaaah eeh
Bwana Yesu wewe ndiwe majibu ya Kila mwenye maswali moyoni,
Unaweza Yesu eeeh eh
Uuuuuuh uuuh uuuh uuuh
Uwakumbuke, wakumbuke watoto wale,
Ona baba wajane wale, uwakumbuke babaa,
Wewe ndiwe mume wao Baba,
Utukumbuke, utukumbuke babaa,
Taifa letu na nchi yetu, serikali na viongozi, utukumbuke eeh Baba!
Uwakumbuke, Baba ah

Leave a Reply