African Music Ambassadors of Christ Choir – Yatupasa Kushukuru

Ambassadors of Christ Choir – Yatupasa Kushukuru

Ambassadors of Christ Choir - Yatupasa Kushukuru

Yatupasa Kushukuru SONG by

Now Out, Renowned Christian artist Ambassadors of Christ Choir drops a new mp3 single + it’s official music video titled “Yatupasa Kushukuru”

Download, Stay blessed and Enjoy This Amazing Mp3 Audio Song For Free

DOWNLOAD HERE

Ambassadors of Christ Choir Yatupasa Kushukuru Lyrics
Hebu tu tafakari
Mungu atutendeayo
Jinsi anavyo tujali
Jinsi anayo nilinda
Uhai wetu upitao tumsifu ungalipo

Ni ya ajabu sana
Matendo ya bwana Mungu
Kinachosikitisha hatuyadhamini kabisa
Lakini bwana ni mwema kwetu
Hawezi tuacha

Related Post:   Ambassadors of Christ Choir - HE CALLS

Ni ya ajabu sana
Matendo ya bwana Mungu
Twapasa kushuru
Kwa baraka anazotupa
Hakuna kitu kinacho uhai ni yeye Mungu pekee

Tuwapo safarini
Kifo kina tuandama
Tafakari safari zote
Kumbuka ile ajali
Ulifanya nini mpendwa ukatoka umzima

Ni ya ajabu sana
Matendo ya bwana Mungu
Kinachosikitisha hatuyadhamini kabisa
Lakini bwana ni mwema kwetu
Hawezi tuacha

Ni ya ajabu sana
Matendo ya bwana Mungu
Twapasa kushukuru kwa baraka anazotupa
Hakuna kitu wacha uhai ni yeye Mungu pekee

Related Post:   Ambassadors Of Christ Choir - Mu Maboko Y'iteka

Tulalapo usiku
Twalala kama wafuu
Asubuhi kunapo kucha
Twadumu kuwa wazima
Ni ratiba yake tusifu
Ni mipango yake kwetu

Ni ya ajabu sana
Matendo ya bwana Mungu
Kinachosikitisha hatuyadhamini kabisa
Lakini bwana ni mwema kwetu
Hawezi tuacha

Ni ya ajabu sana
Matendo ya bwana Mungu
Twapasa kushukuru
Kwa baraka anazotupa
Hakuna kitu wacha uhai ni ye Mungu pekee

Ohh bwana ni mwema kwetu
Hawezi tuacha 3

Leave a Reply