African Music Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu

Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu

Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu

Audio Music Download Martha Mwaipaja – Maumivu Ya Jaribu MP3 by Martha Mwaipaja

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Maumivu Ya Jaribu by a Renowned and anointed Christian / Gospel singer and recording music artist Martha Mwaipaja whose mission is to be a blessing many people through kingdom music.

  • Song Title: Mp3 Martha Mwaipaja Maumivu Ya Jaribu FREE DOWNLOAD Maumivu Ya Jaribu by Martha Mwaipaja
  • Genre: Gospel
  • Released: 2020
  • Duration: 06:14

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to be a blessed through this powerful & melodius gospel music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #GospelJingle

DOWNLOAD HERE

Martha Mwaipaja Maumivu Ya Jaribu Lyrics
Japo jaribu limeruhusiwa na wewe Mungu
Hili jaribu linaumiza moyo
Japo jaribu limeruhusiwa na wewe mwenyewe
Hili jaribu linaumiza moyo
Japo maumivu haya Yesu anajua
Moyo wangu unateseka aah

Japo haya yote wewe pekee wajua
Lakini moyo wangu unateseka aa
Nitie nguvu baba yangu

Naishi katikati ya watu
Wasio jua ni nini napitia
Natembea katikati ya watu
Wasio maumivu yangu
Kwa sababu ya mateso niliyo nayo
Nimejaribu kuelezea wengi
Pamoja na kuwaeleza ndio hawa
hawajaelewa ninavyoteseka
Nilijua kwa kuwaaleza kwangu
Watajua nitesekavyo hawakujua
Japo maumivu haya wewe Yesu wayajua
Moyo wangu unateseka aah

Hivi naomba kwa unyenyekevu
Usiniache jaribu likaniweza
Baba yangu mimi nimekubali kupita
Lakini usiniache eeh
Nimekubali kupitia usiniache
Nikamezwa na jaribu

Japo Ibrahimu aliitwa Baba wa imani
Moyo wake uliteseka
Japo Ibrahimu ulisema naye
Ukasema utampa watoto bado alilia
Pamoja na kwamba ulisema naye kwenye
Mti alipochelewa Isaka Ibrahimu kali
Japo alijua ni wewe Baba utampatia
Ibrahimu moyo uliuma
Kwa sababu Ibrahimu alichelewa kupata mtoto
Moyo wake uliteseka
Japo alijua Isaka ni mtoto wa pekee
Kwa sababu alichelewa alilia
Alijua utampa watoto wazuri
Lakini moyo wake ulilia

Pamoja na kwamba unatufundisha majaribu lazima
Lakini mioyo inauma
Usituache Yesu, usituache wanao
Usituache wanao tukapotea
Usituache Yesu, usituache Baba
Usituache wanao tukapotea
Usituache Yesu, usituache wanao
Usituache wanao tukapotea

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here