African Music Aniseti Butati – Take Over

Aniseti Butati – Take Over

  • Artist: Aniseti Butati
  • Song Title: Take Over
  • Genre: Gospel
  • Released: 2023

Check-Out this amazing brand new single + the Lyrics of the song and the official music-video titled Take Over by a Renowned and anointed gospel singer & recording artist Aniseti Butati

Stream and Download this amazing mp3 audio single for free and don’t forget to share with your friends and family for them to also enjoy this dynamic & melodius music, and also don’t forget to drop your comment using the comment box below, we look forward to hearing from you. Thanks!! . #gospeljingle

DOWNLOAD HERE

Aniseti Butati Take Over Lyrics

I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.

Nilipata shida rafiki zangu waliponiuliza Butati, unafanya nini huko mjini?
Wazazi wako wanateseka wadogo zako wanahangaika, unafanya nini huko mjini?
Kula kwao kwa shida shuleni wamefukuzwa, unafanya nini huko mjini?
Utafutaji umekushinda rudi nyumbani ulime, unafanya nini huko mjini?
Vyugu hanzula vyaagutanye nugaluke muhila ufate insuka, unafanya nini huko mjini?
Nikiwa katikati ya maombi, nikiwa nimechoka sana sauti ya Bwana ikaniambia
I will take over, i will take over
I will take over, i will take over, nitaenda viwango vya juu.
I will take over, i will take over
I will take over, i will take over, nitaenda viwango vya juu

I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.

Ahadi za Mungu ni kweli tena ni amina ukiomba mkate hawezi kukupa jiwe
Ameniahidi atatimiza nami namwamini sina tashwishwi atatenda nitaenda viwango vingine.
Yale maneno yao yaliyonivunja moyo, yale maneno yao yaliyonikatisha tamaa,
yakisemwa sasa yananipa nguvu ya kusonga mbele.
Yale maneno yao yaliyonivunja moyo, yale maneno yao yaliyonifanya nilie sana,
yakisemwa sasa ni kama daraja ninavuka tu.
I will take over, i will take over
I will take over, i will take over, nitaenda viwango vya juu
I will take over, i will take over
I will take over, i will take over, nitaenda viwango vya juu.

I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango nya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.
I will take over, take over
i will take over, take over
nitaenda viwango vya juu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here